Bandundu (mji)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Bandundu)
Bandundu (zamani Banningville au Banningstad) ni mji wa mkoa wa Mai-Ndombe, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).
Makadirio ya idadi ya watu ni 143,435 (2012)[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]03°19′00″S 17°22′0″E / 3.31667°S 17.36667°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bandundu (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |