Malanje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Malanje ni mji uliopo kaskazini mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Malanje.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 455,000[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Malanje kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.