Mkoa wa Cankuzo
Mandhari
Mkoa wa Cankuzo ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 202,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 1,965 km².
Mji mkuu ni Cankuzo.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]
Mikoa ya Burundi | |
---|---|
Bubanza • Bujumbura Mjini • Bujumbura Vijijini • Bururi • Cankuzo • Cibitoke • Gitega • Karuzi • Kayanza • Kirundo • Makamba • Muramvya • Muyinga • Mwaro • Ngozi • Rumonge • Rutana • Ruyigi | |
+/- |
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Cankuzo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |