Mkoa wa Kirundo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mkoa wa Kirundo katika Burundi

Mkoa wa Kirundo ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 602,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 1,703 km².

Mji mkuu ni Kirundo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Mikoa ya Burundi Bendera ya Burundi
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-
Flag-map of Burundi.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kirundo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.