Mkoa wa Mwaro
Mandhari
Mkoa wa Mwaro ni mojawapo kati ya mikoa ya Burundi.
Eneo lake ni la km² 840 na liko magharibi mwa nchi.
Jumla ya wakazi ilikuwa 275,000 mwaka 2007.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]
Mikoa ya Burundi | |
---|---|
Bubanza • Bujumbura Mjini • Bujumbura Vijijini • Bururi • Cankuzo • Cibitoke • Gitega • Karuzi • Kayanza • Kirundo • Makamba • Muramvya • Muyinga • Mwaro • Ngozi • Rumonge • Rutana • Ruyigi | |
+/- |
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mwaro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |