Ukabaila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ukabaila (ar. مقابل muqabil "aliyezaliwa katika ukoo maarufu"; kwa Kiingereza feudalism) ni mfumo wa uchumi wa kumiliki majumba na ardhi kwa wingi sana na kupangisha watu wengine kwa malipo.


Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukabaila kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.