Nenda kwa yaliyomo

Michel Micombero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Michel Micombero (26 Agosti 1940 - 16 Julai 1983) alikuwa mwanasiasa na askari wa Burundi aliyetawala nchi kama rais wa kwanza na kihalisia kama dikteta kwa miaka kumi kati ya 1966 na 1976.

Alikuwa wa kabila la Watutsi.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michel Micombero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.