Adui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Adui ni mtu au kikundi ambacho kinathibitishwa kama kibaya au kinatishia amani.Dhana ya adui imeonekana kuwa "msingi kwa watu binafsi na jamii".

Adui hujiona yeye ni yeye na hakuna mtu anayemuweza katika kikundi chake au yeye mwenyewe.Adui anaweza kutumia zana hatarishi au kupigana kwa kutumia mikono na miguu.