Zana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Visu ilikuwa moja kati ya zana za kwanza zilizotengezwa na wanadamu.

Zana ni kifaa chochote ambacho hutumiwa na binadamu ili kuweza kumrahisishia kazi zake za kila kwa urahisi ili kuweza kuleta ufanisi katika matokeo ya kazi anayoifanya pamoja na uhifadhi wa muda.

Mifano ya zana ni jembe la mkono, tolori, mashine ya kufyatua tofali, kisu,panga na nyingine nyingi ambazo hufahisisha kazi.

Zana zina faida mbalimbali ambazo ni:

  1. Husababisha ufanisi wa kazi
  2. Huokoa muda kwani kazi humalizika baaba ya muda mfupi
  3. Huongeza uzalishaji
  4. Husaidia katika kuboresha bidhaa

Kwa ujumla zana ni chombo muhimu sana katika maisha ya binadamu ya kila siku ili kuleta maendeleo katika jamii.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.