Demografia
Mandhari
(Elekezwa kutoka Idadi ya watu)
Demografia ni sayansi ya jamii inayozingatia takwimu za idadi ya binadamu.
Inaweza kuhusu mabadiliko yoyote ya makundi ya watu mbalimbali kadiri ya mahali na wakati, k. mf. kulingana na wengine kuzaliwa, kufa, kuhama, kuzeeka na kufa[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Demografia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |