Windhoek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Windhoek


Jiji la Windhoek
Jiji la Windhoek is located in Namibia
Jiji la Windhoek
Jiji la Windhoek

Mahali pa mji wa Windhoek katika Namibia

Majiranukta: 22°34′12″S 17°5′1″E / 22.57000°S 17.08361°E / -22.57000; 17.08361
Nchi Namibia
Mikoa Mkoa wa Khomas
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 400.000
Tovuti:  www.windhoekcc.org.na
Kitovu cha mji wa Windhoek
Windhoek mwishoni mwa 19 karne
Mihuri kwa Kijerumani South Afrika Magharibi postmarked Windhuk

Windhoek ni mji mkuu wa Namibia, na uko mahali pa 22.56 S 17.09 E[dead link]. Idadi ya wakazi wake ni takriban 230,000. Mji huu ni kituo muhimu kwa biashara ya ngozi za kondoo. Zamani ulikuwa makao makuu ya mtemi wa kabila la Nama aliyewashinda kabila la Waherero wakati wa karne ya 19. Mwaka wa 1885, nchi ilivamiwa na wakoloni kutoka Ujerumani, na mji wa Windhoek ukawa makao makuu ya serikali ya ukoloni mwaka wa 1892. Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia nchi ilivamiwa na majeshi ya Makaburu kutoka Afrika ya Kusini ambao wametawala nchi ya Namibia hadi mwaka wa 1990. Namibia ilipopata uhuru, mji wa Windhoek ukawa mji mkuu wa Jamhuri ya Namibia.

Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Windhoek kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.