Mkoa wa Khomas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Khomas katika Namibia

Mkoa wa Khomas ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 250,305 (2001) kwenye eneo la 36,805 km². Mji mkuu ni Windhoek.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Miji mikubwa ni pamoja na Windhoek na Katutura.

Swakop na Kuiseb ni mito muhimu zaidi.

Picha za Khomas[hariri | hariri chanzo]


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Khomas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Mikoa ya Namibia
Bandera ya Namibia
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa