Mkoa wa Erongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Erongo katika Namibia.

Mkoa wa Erongo ni mmoja kati ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia wenye wakazi 107,629 kwenye eneo la km² 63,720.

Mji mkuu ni Swakopmund.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Miji mikubwa ni pamoja na Walvis Bay na Swakopmund.

Swakop na Kuiseb ni mito muhimu zaidi.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tovuti za Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Namibia
Bandera ya Namibia
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Erongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.