Centro Sur
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Centro Sur)
Centro Sur | |
Nchi | Equatorial Guinea |
---|---|
Makao makuu | Evinayong |
Eneo | |
- Jumla | 9,931 km² |
Idadi ya wakazi (2015[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 141,903 |
Centro Sur (Kihispania kwa "Kusini-Kati") ni mkoa wa Guinea ya Ikweta. Mji mkuu wake ni Evinayong.
Mkoa huu ni sehemu ya kanda la Rio Muni lililopo kwenye bara la Afrika.
Centro Sur inapakana na Mkoa wa Estuaire wa Gabon upande wa kusini-magharibi na Mkoa wa Woleu-Ntem upande wa kusini-mashariki, halafu Mkoa wa Kusini wa Kamerun upande wa kaskazini. Ndani ya nchi, inapakana na Kié-Ntem kwenye kaskazini-mashariki, Wele-Nzas kwenye kusini-mashariki, na Litoral upande wa magharibi.
Centro Sur ina miji mitatu kuu: Akurenam, Niefang na Evinayong.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Censo de población 2015–República de Guinea Ecuatorial" (PDF) (kwa Kihispania). INEGE. uk. 7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 8 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 8 Oktoba 2017.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)