Mkoa wa Kusini, Kamerun
Mandhari
Mkoa wa Kusini, Kamerun ni mmojawapo kati ya mikoa ya Kamerun. Jina lenyewe linadokeza mahali pake nchini, mpakani mwa Guinea ya Ikweta, Gabon na Jamhuri ya Kongo.
Mkoa huo una wakazi 749,552 (kadirio la mwaka 2015[1]) katika eneo la Km² 47,191.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kusini, Kamerun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |