Nenda kwa yaliyomo

Djibloho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Djibloho)
Mahali pa Jibloho katika Guinea ya Ikweta

Djibloho (jina rasmi Jiji la Kiutawala la Djibloho; kwa Kihispania: Ciudad administrativa de Djibloho) [1] ndio mkoa mpya zaidi wa Guinea ya Ikweta.

Ulitengwa katika maeneo ya mkoa wa Wele-Nzas kwa sheria ya mwaka wa 2017.[2] Kusudi la kuuanzisha mkoa huo lilikuwa kuunda mji mkuu mpya wa taifa utakaochukua nafasi ya Malabo iliyopo kwenye kisiwa cha Bioko.

Djibloho inajumuisha wilaya mbili za mijini, Ciudad de la Paz na Mbere. Mji mkuu ni Ciudad de la Paz ("Mji wa Amani"), [3] uliojulikana kama Oyala hadi 2017. [4]

Katika uchaguzi wa bunge wa kitaifa wa 2017, Djibloho ilichagua seneta mmoja na mbunge mmoja. [5]

  1. Sierra, Verjan; Rodrigo, Cristian (2015). "Accesibilidad a la futura ciudad administrativa de Djibloho a través de la red de carreteras del estado de Guinea Ecuatorial- África Central". {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help)
  2. "La Presidencia de la República sanciona dos nuevas leyes", Equatorial Guinea Press and Information Office, 23 June 2017. Retrieved on 25 September 2017. (es) Archived from the original on 2017-06-25. 
  3. "领区概况" (kwa Kichina). General Consulate of the People's Republic of China in Bata. 15 Mei 2015. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Prime Minister presents draft laws before Chamber of Deputies". Equatorial Guinea Press and Information Office. 25 Februari 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-31. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Decreto Presidencial por el que se disuelve la Cámara de los Diputados, el Senado y los Ayuntamientos y se convoca elecciones generales para la Cámara de los Diputados, el Senado y Municipales" (PDF) (kwa Kihispania). Government of Equatorial Guinea. 15 Septemba 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2017-09-26. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)