Kié-Ntem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Kié-Ntem)


Kié-Ntem
Mahali paKié-Ntem
Mahali paKié-Ntem
Nchi Equatorial Guinea
Makao makuu Ebebiyín
Eneo
 - Jumla 3,943 km²
Idadi ya wakazi (2015)
 - Wakazi kwa ujumla 183,331[1]

Kié-Ntem ni mkoa wa Guinea ya Ikweta . Mji mkuu wake ni Ebebiyín .

Mkoa huo ni sehemu ya kanda la Rio Muni lililopo kwenye sehemu ya bara ya nchi. Kié-Ntem inapakana na tarafa zifuatazo za nchi:

Mkoa ulichukua jina lake kutoka Mto Kié na Mto Ntem (Campo).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Censo de población 2015–República de Guinea Ecuatorial (es). INEGE. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-10-08. Iliwekwa mnamo 8 October 2017.