Tristan da Cunha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Tristan da Cunha

Tristan da Cunha (kifupi: Tristan) ni jina la funguvisiwa lililoko kusini mwa Bahari ya Atlantiki na la kisiwa muhimu zaidi ya fungu hilo ambalo liko mbali kuliko yote na sehemu nyingine yoyote ya nchi kavu. Visiwa vina asili ya volikano.

Wakazi wote ni 262 tu.

Kiutawala visiwa hivyo viko chini ya koloni la Saint Helena[1] , ambalo liko chini ya Ufalme wa Muungano[2][3].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. The St Helena, Ascension and Tristan da Cunha Constitution Order 2009. Opsi.gov.uk. Iliwekwa mnamo 18 April 2010.
  2. Winkler, Sarah. Where is the Most Remote Spot on Earth? Tristan da Cunha: The World's Most Remote Inhabited Island.
  3. About.com: Geography. Geography.about.com (2 November 2009). Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-12-05. Iliwekwa mnamo 18 April 2010.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Miongozo
  • A Short Guide to Tristan da Cunha by James Glass and Anne Green, Tristan Chief Islanders (2005, Whitby Press, 12 pages).
  • Field Guides to the Animals and Plants of Tristan da Cunha and Gough Island Edited by Peter Ryan (2007, RSPB Publication, 168 pages).
  • Gough Island: A Natural History by Christine Hanel, Steven Chown and Kevin Gaston (2005, Sun Press, 169 pages).
  • Crawford, Allan (1982). Tristan Da Cunha and the Roaring Forties. Anchor Press. ISBN 0-2849-8589-9. 
Utamaduni
  • Tristan da Cunha: History, People, Language by Daniel Schreier and Karen Lavarello-Schreier (2003, Battlebridge, 88 pages).
  • Rockhopper Copper: The life and times of the people of the most remote inhabited island on Earth by Conrad Glass MBE, Tristan Police Officer (2005, Polperro Heritage Press, 176 pages).
  • Recipes from Tristan da Cunha by Dawn Repetto, Tristan Tourism Co-ordinator (2010, Tristan Books, 32 pages).
  • Corporal Glass's Island: The Story of Tristan da Cunha by Nancy Hosegood (1966, Farrar, Straus, Giroux, 192 pages, with several pages of photographs).
  • Three Years in Tristan da Cunha by Katherine Mary Barrow (1910, Skeffington & Son, 200 pages, with 37 photographs).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Tristan da Cunha travel guide kutoka Wikisafiri

Video[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tristan da Cunha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Coordinates: 37°15′S 12°25′W / 37.250°S 12.417°W / -37.250; -12.417