Rodrigues (kisiwa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visiwa vya Maskarena kati ya visiwa vya Kiafrika katika Bahari Hindi.

Rodrigues ni kisiwa cha Bahari ya Hindi. Upande wa utawala, ni sehemu ya Jamhuri ya Morisi.

Kidiwa kipo km 560 mashariki kwa Morisi yenyewe. Eneo lake ni km² 109; kuna wakazi 41,000.

Kijiografia ni sehemu ya funguvisiwa ya Maskarena pamoja na kisiwa cha Morisi, kisiwa cha Kifaransa cha Réunion na visiwa vidogo vya Cargados Carajos na Agalega.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rodrigues (kisiwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.