Cargados Carajos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visiwa vya Maskarena kati ya visiwa vya Kiafrika katika Bahari Hindi.

Cargados Carajos (pia Saint Brandon) ni visiwa 16 vidogo sana, vyenye eneo la km² 1.3 pekee.

Viko km 300 kaskazini kwa Morisi, kisiwa ambako kuna makao makuu ya Jamhuri ambayo visiwa hivyo ni sehemu yake.

Kuna wakazi wachache ambao wanategemea uvuvi.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cargados Carajos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.