Kikanembu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikanembu ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wakanembu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikanembu imehesabiwa kuwa watu 461,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikanembu iko katika kundi la Kisahara-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanembu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.