Kigabri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kigabri ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wagabri. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigabri imehesabiwa kuwa watu 34,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigabri iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigabri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.