Niamey
Mandhari
Niamey
Jina rasmi | Niamey |
---|---|
Native label | Ɲamay, Yamai, ⵏⵉⴰⵎⵢ |
Demonym | Niaméen, Niaméenne, Niaméyen, Niaméyenne |
Nchi | Niger |
Capital of | Niger, Colony of Niger |
Located in the administrative territorial entity | Niger |
Located in time zone | UTC+01:00 |
Located in or next to body of water | Niger |
Coordinate location | 13°30′54″N 2°7′3″E |
Mkuu wa serikali | Barry Bibata Niandou |
Contains the administrative territorial entity | Niamey I, Niamey II, Niamey III, Niamey IV, Niamey V |
Twinned administrative body | Dakar, Tamale |
Inashiriki mpaka na | Tillabéri Region |
Category for maps | Category:Maps of Niamey |
Niamey ni mji mkuu wa Niger. Iko mwambaoni wa mto Niger. Ikiwa na wakazi 1,803,000 hivi (2018) Niamey ni mji mkubwa wa Niger na kitovu cha kiutawala, kiuchumi na kiutamaduni.
Kilimo katika mazingira ya mji kina karanga kama mazao ya sokoni; kuna viwanda vya matofali, saruji na nguo.
Niamey ilikuwa kijiji kikaanza kukua tangu Ufaransa ulijenga hapa kituo cha kijeshi tangu miaka ya 1890 BK. Mwaka 1926 ikawa mji mkuu wa koloni ya Niger. Mwaka 1930 ilikuwa na wakazi 3,000, wakati wa uhuru mwaka 1960 na wakazi 30,000 na mnamo 1980 na wakazi 250,000.