Kiaweer
Jump to navigation
Jump to search
Kiaweer (pia Kiboni) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kenya inayozungumzwa na Waaweer. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiaweer imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaweer iko katika kundi la Kikushi.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kiaweer kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaweer
- lugha ya Kiaweer katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bob
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaweer kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |