Kibajuni
Mandhari
Kibajuni (pia kinajulikana kama Kitikuu au Kitikulu) ni lahaja ya Kiswahili inayozungumzwa na watu wanaojulikana kama Wabajuni wanaomiliki funguvisiwa la Bajuni pamoja na baadhi ya maeneo ya pwani ya kaskazini mwa Kenya, lakini pia kati ya makabila tofauti ya kusini mwa Somalia bara.[1][2]
Maho (2009) anaichukulia Kibajuni kama lugha ya pekee, lakini Nurse pamoja na Hinnebusch (1993) wameichukulia kama lahaja ya kaskazini mwa eneo la Waswahili.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Wayback Machine" (PDF). web.archive.org. 2018-02-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-02-03. Iliwekwa mnamo 2022-08-08.
- ↑ Nurse, Derek; Hinnebusch, Thomas J.; Philipson, Gérard (1993). Swahili and Sabaki: A Linguistic History (kwa Kiingereza). Univ of California Press. ISBN 978-0-520-09775-9.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Abdullahi, Mohamed Diriye (2001). Culture and customs of Somalia. Greenwood. ISBN 9780313313332.
- Mwakikagile, Godfrey (2007). Kenya: identity of a nation. New Africa Press. ISBN 978-0980258790.
- Nurse, Derek; Hinnebusch, Thomas J.; Philipson, Gérard (1993). Swahili and Sabaki: A Linguistic History (kwa Kiingereza). Univ of California Press. ISBN 9780520097759.
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibajuni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |