Kitaveta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitaveta ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wataveta. Wataalamu wengine huiangalia kama lahaja ya Kitaita.

Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kitaveta imehesabiwa kuwa watu 21,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitaveta iko katika kundi la G20.

Lugha ya Kitaveta inafanana kwa zaidi ya asilimia 95 (95%) na lugha ya Kipare inayotumika nchini Tanzania.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitaveta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.