Kiorma
Mandhari
Kiorma ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kenya inayozungumzwa na Waorma. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiorma imehesabiwa kuwa watu 66,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiorma iko katika kundi la Kikushi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiorma kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiorma
- lugha ya Kiorma katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/orc
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiorma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |