Nenda kwa yaliyomo

Kichuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichuka (au Gichuka) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wachuka. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kichuka imehesabiwa kuwa watu 70,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kichuka iko katika kundi la E50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichuka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.