Kimeru (Kenya)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimeru (au Kimîîru) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wameru. Isichanganywe na lugha ya Kimeru nchini Tanzania. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kimeru imehesabiwa kuwa watu 1,658,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimeru iko katika kundi la E50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimeru (Kenya) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.