Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Garissa Mjini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Garissa Mjini (awali: Jimbo la Uchaguzi la Dujis) ni mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo katika Kaunti ya Garissa.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Hussein Maalim Mohamed KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Hussein Maalim Mohamed KANU
1997 Hussein Maalim Mohamed KANU
2002 Hussein Maalim Mohamed KANU
2007 Aden Bare Duale ODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili Utawala wa Mitaa
Biashara 3,994 Munisipali ya Garissa
Bulla 2,887 Munisipali ya Garissa
Jamhuri 2,747 Munisipali ya Garissa
Market 5,578 Munisipali ya Garissa
Mashambani 1,596 Munisipali ya Garissa
Stadium 4,796 Munisipali ya Garissa
Sankuri / Raya 1,838 Garissa County
Balambala 2,563 Garissa County
Denyere 1,167 Garissa County
Jara Jara 595 Garissa County
Kora Kora 1,306 Garissa County
Saka 965 Garissa County
Shimbiri 880 Garissa County
Jumla 30,912
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]