Mwatate

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mwatate
Nchi Kenya
Kaunti Kaunti ya Taita-Taveta
Idadi ya wakazi
 - 3 386
Mwatate

Mwatate ni mji wa Kenya katika kaunti ya Taita-Taveta, na ndio makao makuu ya kaunti.