Mto Ewaso Ng'iro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Ewaso Ng'iro unapatikana nchini Kenya. Ni tawimto la mto Lagh Dera ambao tena ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]