Mto Kangen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kangen unapatikana Sudan Kusini, magharibi kidogo kwa Hifadhi ya Taifa ya Boma.

Unaungana na mto Pibor karibu na Pibor. Halafu maji yake yanaingia katika Nile Nyeupe.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Kangen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.