Mto Achwa
Jump to navigation
Jump to search
Mto Achwa (pia Aswa) unapatikana katika wilaya ya Nwoya, kaskazini mwa Uganda. Unaanza nchini Uganda na kuingia katika Nile Nyeupe nchini Sudan Kusini. Hivyo maji yake yanaishia kkatika Bahari ya Kati.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
|
|
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Achwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |