Mto Bahr el Zeraf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Bahr el Zeraf (pia: Bahr ez Zeraf na Bahr az-Zaraf; kwa Kiarabu: بَـحْـر الـزّرَاف, Baḥr ez-Zerāf, maana yake "mto wa twiga") unapatikana Sudan Kusini (Jonglei).

Ni tawimto la Nile Nyeupe. Kwanza unapitia kinamasi cha Sudd.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Bahr al-Ghazal. Encyclopædia Britannica Online Library Edition. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-01-21.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]