Nenda kwa yaliyomo

Mto Akobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beseni la Mto Sobat.

Mto Akobo unapatikana magharibi mwa Ethiopia na mashariki mwa Sudan Kusini.

Ni tawimto la mto Pibor linalopokea kwanza maji ya matawimto Cechi, Chiarini na Owag upande wa Ethiopia, halafu Neubari, Ajuba na Kaia upande wa Sudan Kusini.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Akobo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.