Mto Dawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Mto Dawa unapatikana nchini Kenya. Ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.