Mto Chania (Nyeri)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Chania (Nyeri) unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya.

Ni tawimto la mto Sagana ambao unaingia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]