Mto Mara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi tofauti ya jina Mara angalia hapa Mara (maana)

Daraja mpakani mwa Kenya na Tanzania.
Kiboko na mwanae, Mto Mara, Kenya.

Mto Mara ni mto wa Kenya na Tanzania. Beseni lake ni la km2 13,504, ambazo 65% ziko Kenya na 35% Tanzania.[1]

Hatimaye unaishia katika Ziwa Viktoria upande wa Tanzania (Mkoa wa Mara).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Jim K. Kairu, "Biodiversity Action Plan for Sustainable Management: Mara River Basin" (WWF, 2008)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Mara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.