Nenda kwa yaliyomo

Mto Peninji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mto Peninj)

Mto Peninji ni kati ya mito ya mkoa wa Arusha (Tanzania kaskazini).

Unatiririka upande wa kaskazini mashariki na kuishia katika ziwa Natron.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]