Nenda kwa yaliyomo

Mto Mwanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mwanga ni tawimto la mto Kikuletwa ambao ni kati ya vyanzo viwili vikuu vya mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania).


Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]