Mto Kalambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Majiranukta kwenye ramani: 8°24′S 31°18′E / 8.4°S 31.3°E / -8.4; 31.3 Mto Kalambo ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa kusini magharibi, mkoa wa Rukwa) na ya Zambia (upande wa kaskazini), ukiwa mpaka kati ya nchi hizo mbili kwa sehemu fulani.

Ni maarufu kwa maporomoko yake. Maji yake yanaishia bahari ya Atlantiki kupitia ziwa Tanganyika na mto Kongo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]