Mto Sigi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Majiranukta kwenye ramani: 5°2′6″S 39°6′1″E / 5.035°S 39.10028°E / -5.035; 39.10028


Mto Sigi ukitiririka kutoka mlimani wakati wa ukoloni.

Mto Sigi (pia: Zigi) ni mto wa mkoa wa Tanga, Tanzania Kaskazini Mashariki.

Una urefu wa kilometa 100: unaanzia katika hifadhi ya msitu ya Amani iliyopo katika wilaya ya Muheza na baada ya kubadili mwelekeo mara kadhaa unaingia katika Bahari Hindi kilometa 40 kaskazini kwa mji wa Tanga.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]