Mto Simiyu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Simiyu
Chanzo katika mbuga wa Serengeti
Urefu 1680
Kimo cha chanzo 1135 m
Tawimito upande wa kulia Duma
Mkondo 0- 208
Eneo la beseni 10800 km²
Miji mikubwa kando lake Magu Mjini

Mto Simiyu ni mto wa Tanzania kaskazini ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto wa Naili. Mdomo wake uko karibu na Magu Mjini. Tawimto muhimu ni mto Duma.

Mkoa ambapo unapitia unapata jina kutoka kwake: Mkoa wa Simiyu.

Hidrometria[hariri | hariri chanzo]

Kiasi cha maji yanayopita katika mto huu unabadilika kimajira kutegemeana na kiasi cha mvua. Vipimo viko kama / s (1999–2004).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]