Nenda kwa yaliyomo

Mto Luengera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Luengera ni tawimto la mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]