Mto Lukwika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Lukwika ni kati ya mito ya mkoa wa Mtwara (Tanzania Kusini Mashariki), tawimto wa mto Ruvuma, unaotiririka hadi kuishia katika Bahari Hindi mpakani mwa Msumbiji.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]