Mto Lukumbule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Lukumbule ni mto wa Tanzania Kusini, tawimto la mto Ruvuma, unaotiririka hadi kuishia katika Bahari Hindi mpakani mwa Msumbiji.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]