Mto Bubu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Bubu ni jina la mito minne ya mkoa wa Dodoma (Tanzania ya kati).

Mitatu inaelekeza maji yake kwenye bahari ya Hindi kupitia mto Rufiji.

Mwingine hauelekei bahari wala ziwa lolote, ila unaunda madimbwi mengi ya kinamasi cha Bahi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]