Ziwa Sulunga

Majiranukta: 6°5′S 35°11′E / 6.083°S 35.183°E / -6.083; 35.183
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

6°5′S 35°11′E / 6.083°S 35.183°E / -6.083; 35.183

Beseni la ziwa Sulunga (kijani).

Ziwa Sulunga (kwa Kiingereza pia: Bahi Swamp) ni kati ya maziwa madogo ya Tanzania.

Linapatikana katika mkoa wa Singida.

Mito inayolichangia zaidi ziwa hilo ni mto Bubu na mto Mponde, lakini mara nyingine linakauka kabisa.

Hatari mpya kwake ni upatikanaji wa madini kandokando, kama vile uranium, dhahabu na labda hata almasi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]