Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Babati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

4°15′S 35°44′E / 4.250°S 35.733°E / -4.250; 35.733

Alfajiri ziwani.

Ziwa Babati ni ziwa dogo nchini Tanzania. Liko upande wa kaskazini, katika mkoa wa Manyara. Ni maarufu kwa viboko wake.